Kutoka kwa Alimam Almahdi kwa wapendwa wangu Alanswar Alsabiqina Alakhyar



الإمام ناصر محمد اليماني.
07 - 10 - 2010 مـ
06:00 صباحاً
ــــــــــــــــــ
مصدر البيان: www.mahdialumma.com/showthread.php?2362

Kutoka kwa Alimam Almahdi kwa wapendwa wangu Alanswar Alsabiqina Alakhyar

Bismilahi Al’Rahmani Al’Rahim, Na Swala na Salam ju ya Al’Nabi Alumi Alamin Rahma ya ulimwengu Muhammad Mtume wa ALLAH na ju ya watu wake waliotahirika na Alsabiqina ma A’lanswar katika wa mwanzo na wa mwisho na katika anga ya ju mpaka siku ya Dini, Wapendwa wangu Al’answar Al’sabiqina Al’akhyar Salam za ALLAH ju yenu na Rahma zake na Barka zake Alsalam ju yetu na ju ya waja wa ALLAH wema na Salam Ju ya Mitume, Na Alhamdulliah Rabilalamin..

Na anacho taka kusema Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani ni kuwakumbusha nayo ma Answari wake walio kirimiwa kwamba musisahau lengo ambalo munalipigania kwajili yake, Nalo kua nyinyi munataka itimu Furaha kwa Nafsi Ya ALLAH na muondoshe maskitiko katika Nafsi Yake juu ya waja wake wale walio dhulumu nafsi zao; Na wala hakuwadhulumu ALLAH lakini wao ndio wanadhulumu, Lakini wao hawakujali ju ya Mola Mlezi wao Al’Rahman Al’Rahim na mumepata kwamba Yeye Amekua Na Hasira ju ya waja wake wale ambao wamedhulumu nafsi zao, Na ushuhuda juu ya Hasira Za ALLAH Ju yao mutaipata kwenye Kauli Ya ALLAH Ta3ala:
{ Walipo tukasirisha tuliwapatiliza }
{فَلَمَّا آسَفُونا انْتَقَمنْا مِنْهُمْ} صدق الله العظيم [الزخرف:55].
Na hivo hivo Furaha Ya ALLAH ni kubwa nayo ni kiasi ya huzuni yake ju ya waja wake ambao waliodhulumu nafsi zao na hivo hivo Furaha yake kwa toba ya mja wake kama munavo jua kwenye fatwa ya Muhammad Mtume wa ALLAH -Swala ALLAHU aleyhi wa alihi wa Salam-AMISEMA: {ALLAH Ana Furaha Zaidi Kwa Toba Ya Mja Wake Wakati Akitubu Kwake Kuliko Moja Wenu aLIKUA yuko Na Kipandio Chake Kwenye Jangwa Akampotea Na Ju Yake Chakula Chake Na Kinywaji Chake Akakata Tama Nae, Akaja Chini Ya Mti Akalala Chini Ya Kivuli Chake Na Ashakata Tama Na Kipandio Chake, Na Wakati Yeye Yuko Kwa Hali Hio Mara Anamona Kipandio Chake Amemsimamia Mbele Yake Akashika Mdomo Kipandio Chake Akasema Kwa Wingi Wa Furaha: Allahuma Wewe Mja Wangu Na Mimi Mola Wako, Amikosa Kwa Wingi Wa Fura}
Sadaqa Aleyhi Aswalat Wa ASALAM.

Wapendwa Wangu Kwa Allah, hebu Tafakarini kiwangu cha huzuni kwa uso wa yule mtu ambae lau atamponyoka kumpotea kipandio chake na yeye yuko katikati Ya jangwa kavu, alafu ika’anguka kilo ju yake kwa mchanga akamkimbia, Alafu akawa akimbia nyuma yake lakini bila faida hakupata kumfikia, Ikampata machofu na tabu na kukaukwa na kiu na yeye anakimbia nyuma yake, Alafu akakata tama nae, Na alafu akalala chini ya m’ti anasubiri mauti ama ALLAH angalie jambo lake, Alafu akalala kidogo alafu akamka kutoka usingizini mwake mara huyo mbele yake anamona amemsimamia na mdomo wake uko karibu na uso wake, Alafu akashika palio mbele katika uso wake, Alafu akasema kwa wingi wa furaha:” Allahuma wewe Mja Wangu Na Mimi Mola Wako”, subhanahu ! Bali amikosa bila kukusudia kwa wingi wa furaha, Basi fikirieni kiasi gani huzuni alikua nayo kwa uso wa yule mtu na hivo furaha ilikua ni kubwa bada alipo shika kwa uso wa yule ngamia wake, Lakini ALLAH Yeye Huzuni Ykae Ni Zaidi Kwa Mja Wake Kuliko Yule Mtu Na Yeye Furaha Yake Ni Zaidi Kwa Toba Ya Mja Wake Kuliko Yule Mtu.


Kwa hivo enyi kaumu potelambali hio pepo ambao itashugulisha kuhusu kutimu kupatikane Furaha katika Nafsi Ya ALLAH.

Na labda Moja kati ya wapendwa wa ALLAH anataka kumkatiza Al’Imam Al’Mahdi Kwa Haraka Sana Aseme:” Ewe Imam Wangu Nioneshe vipi nitasaidia kwa kutimu kupatikane Furaha Ktaika Nafsi Ya ALLAH Na Niondoshe Huzuni Ya Mola Mlezi Wangu Kwenye Nafsi Yake”. Na Alafu Anampa Fatwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Niseme: Basi Ufanye Uongofu Wa Waja Wa ALLAH Ndio Lengo Lako Unalolipigania Katika haya maisha basi hakuna kubadilisha kivovote utakavo pata kutokana na udhia na utakavo kadhibishwa, Lakini Lingania katika njia ya MOLA Mlezi Wako kwa hikma na mawaidha ilio bora, Na usubiri kwa maudhi ya waja wa Allah, Na usifanye haraka ukaja ukawaombea juu yao atakuitikia ALLAH. KUSADIKISHA KAULI YA ALLAH TA3ALA:
{وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِي إِذَا دَعَانِي} صدق الله العظيم [البقرة:186].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Na wakikukliza waja wangu kuhusu mimi basi niko karibu naitikia maombi ya mlinganizi akiniomba} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Alabaqara:186].

Na ukifanya hivo na ukaomba ju yao kua awangamize ALLAH kwa adhabu kutoka kwake basi wewe umifeli katika kutimu kupatikane lengo lako takatifu ambalo ni Adhimu Na umileta kwa Nafsi ya Mola Mlezi wako Huzuni na Kughadhibika ju ya waja wake wale ambao wamekadhibu kwa haki kutoka Mola Mlezi Wao na wamedhulumu nafsi zao, Na hakuna katika ma umma ispokua wakiomba Mitume wao juu yao ama waja wema katika wafwasi wao ispokua anawangamiza ALLAH. Kusadikisha waidi wake kwa Mitume wake Na wale walio amini ispokua anaskitika juu yao baada kuitika maombi ya mlinganizi, Kusadikisha Kauli Ya ALLAH Ta3ala:
{إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿٢٩﴾ يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿٣٢﴾} صدق الله العظيم [يس].
ALLAH Ta3ala Asema:{Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli(30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Yasin].

Na enye Ma Aswar Wa Al’Mahdi Al’Muntadhar, HAKIKA Amewafanya ALLAH Ni Rahma Kwa Ulimwengu Basi Ikiwa Nyinyi Ni Ma Answar Wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Basi Mujuwe kwamb hakika Al’Imam Al’Mahdi Halali Na Ndani ya moyo wake uzito wa tone juu ya moja katika waislamu. Na wala silali ispokua nimesamehe yule alio nidhulumu ama amenikosea katika haya maisha katika waislamu ama makafiri wale ambao hawajuwi. Basi Subirini juu ya kutimu kupatikane lengo Kuu kivovote mutakavo pata kutokana na maudhi kutoka kwa waislamu na makafiri. basi subirini na muwasamehe maudhi yao juu yenu basi hivo ndio mamabo ya kua na azma nayo. Kuasadikisha Kauli Ya ALLAH Ta3ala:
{وَلَمَنْ صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ} صدق الله العظيم [الشورى:43].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Alshuaara].


Na Enye Wapendwa Wangu Al’Answar Al’Sabiqin Al’Alakhyar, Na mwajua kwanini Amemfanya ALLAH Ibrahim Ni Rafiki? Na hivo ni kwa sababu kAULI YAKE ju Yake Swala Na Salam Na Ahli Yake Waliotahirika: Amesema ALLAH Ta3ala:
{وَإِذْ قَالَ إِبْرَ‌اهِيمُ رَ‌بِّ اجْعَلْ هَـٰذَا الْبَلَدَ آمِنًا وَاجْنُبْنِي وَبَنِيَّ أَن نَّعْبُدَ الْأَصْنَامَ ﴿٣٥﴾ رَ‌بِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرً‌ا مِّنَ النَّاسِ فَمَن تَبِعَنِي فَإِنَّهُ مِنِّي وَمَنْ عَصَانِي فَإِنَّكَ غَفُورٌ‌ رَّ‌حِيمٌ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [إبراهيم].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Na Ibrahim alipo sema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu (35) Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hayo yamewapoteza watu wengi. Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye niasi, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu (35)} Sadaqa ALLAH Ala3adhim [Ibrahim]

Basi angalieni kauli ya Ibrahim Ambae ni mpole:{فَمَن تَبِعَنِي فَإِنَّهُ مِنِّي وَمَنْ عَصَانِي فَإِنَّكَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ}،{Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye niasi, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu}, Na Kwanini Hamukupata Asema:”Allahuma Basi Mwangamize Na Umpe Adhabu Kutoka Kwako Ama Kutoka Mikono Yetu”: Bali Amisema Ibrahim Ambae Ni Mpole:
{Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye niasi, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu}, Na Mwajua Kwanini? Na hivo ni kwajili Mtume wa ALLAH Ibrahim Ana Lengo Kuu Adhimu Anataka Aongoze Umma Kuwahurumia Na Maskitio ju Yao, Lakin Aliomba Ju Ya Qaum Wa Nabi Wa ALLAH Lut- Ju Yake Swala Na Salam- Wakapita Wajumbe Wakubalighisha Kwa Kuangamiza Kwa Mtume Wa ALLAH Ibrahim- Ju Yake Swala Na Salam- Ili Wamweleze Katika Njia Yao Kwamba ALLAH Ata’mpa Mtoto Wa Kiume Mwnye Ilimu Mpaka Alipo Wauliza Kuhusu Habari Zao, Akasema ALLAH Ta3ala:
: {وَنَبِّئْهُمْ عَنْ ضَيْفِ إِبْرَاهِيمَ (51) إِذْ دَخَلُوا عَلَيْهِ فَقَالُوا سَلَامًا قَالَ إِنَّا مِنْكُمْ وَجِلُونَ (52) قَالُوا لَا تَوْجَلْ إِنَّا نُبَشِّرُكَ بِغُلَامٍ عَلِيمٍ (53) قَالَ أَبَشَّرْتُمُونِي عَلَى أَنْ مَسَّنِيَ الْكِبَرُ فَبِمَ تُبَشِّرُونَ (54) قَالُوا بَشَّرْنَاكَ بِالحقّ فَلَا تَكُنْ مِنَ الْقَانِطِينَ (55) قَالَ وَمَنْ يَقْنَطُ مِنْ رَحْمَةِ رَبِّهِ إِلَّا الضَّالُّونَ (5 ) قَالَ فَمَا خَطْبُكُمْ أَيُّهَا الْمُرْسَلُونَ (57) قَالُوا إِنَّا أُرْسِلْنَا إِلَى قَوْمٍ مُجْرِمِينَ (58) إِلَّا آَلَ لُوطٍ إِنَّا لَمُنَجُّوهُمْ أَجْمَعِينَ (59) إِلَّا امْرَأَتَهُ قَدَّرْنَا إِنَّهَا لَمِنَ الْغَابِرِينَ (60)} صدق الله العظيم [الحجر].
ALLAHA Ta3ala Asema:{Na uwape khabari za wageni wa Ibrahim(51) Walipo ingia kwake na wakasema: Salama! Yeye akasema: Hakika sisi tunakuogopeni (52) Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi (53) Akasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi kwa njia gani mnanibashiria (54) Wakasema: Tunakubashiria kwa haki; basi usiwe miongoni mwa wanaokata tamaa (55) Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea (56) Akasema: Hebu nini amri yenu, enyi wajumbe
(57) Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya wakosefu (58) Isipo kuwa walio mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote (59)Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma (60)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Alhijri].

Lakini “Khalil” Rafiki wa ALLAH Ibrahim bado anazali kushikilia lipatikane lengo lake Kuu ambalo ni Adhimu ili aongoze Umma na kuwaokoa kutokana na adhabu ya ALLAH, kwajili ya hivo mutamkuta anajadiliana na Wajumbe wa Mola Mlezi Wa Ulimwengu kuhusu kaumu ya Lut na kutaka kwa Malaika- Wajumbe wa Al’Rahman wakubalighisha kwa Kuanagmiza- muhula mda kidogo kwa wakati, Na anataka kuwaokoa wote ndio awalinganie usiku na mchana mpaka waongoke, Akasema ALLAH Ta3ala:
: {فَلَمَّا ذَهَبَ عَنْ إِبْرَ‌اهِيمَ الرَّ‌وْعُ وَجَاءَتْهُ الْبُشْرَ‌ىٰ يُجَادِلُنَا فِي قَوْمِ لُوطٍ ﴿٧٤﴾ إِنَّ إِبْرَ‌اهِيمَ لَحَلِيمٌ أَوَّاهٌ مُّنِيبٌ ﴿٧٥﴾} صدق الله العظيم [هود].

ALLAH T3ala Asema:{ Basi khofu ilipo mwondoka Ibrahim, na ikawa ile bishara imemfikia, alianza kujadiliana nasi juu ya kaumu ya Lut (74) Hakika Ibrahim alikuwa mpole, ana huruma, na mwepesi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu}Sadaqa ALLAH Al3adhim [Hud].
Basi angalieni wapendwa wangu Ma Answar Vile Allah alivo msifu Nabi wake Ibrahim Ju yake swala na salam, Amesema Ta3ala:
: {يُجَادِلُنَا فِي قَوْمِ لُوطٍ ﴿٧٤﴾ إِنَّ إِبْرَ‌اهِيمَ لَحَلِيمٌ أَوَّاهٌ مُّنِيبٌ ﴿٧٥﴾} صدق الله العظيم،
ALLAH Ta3ala Asema:{ alianza kujadiliana nasi juu ya kaumu ya Lut (74) Hakika Ibrahim alikuwa mpole, ana huruma, na mwepesi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu} Sadaqa ALLAH Al3adhim, Lakini Wajumbe Wa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Katika Malaika Walio Kirimiwa Walisema: { يَا إِبْرَاهِيمُ أَعْرِضْ عَنْ هَذَا إِنَّهُ قَدْ جَاءَ أَمْرُ ربّك وَإِنَّهُمْ آتِيهِمْ عَذَابٌ غَيْرُ مَرْدُودٍ } صدق الله العظيم [هود }
{{{ Ewe Ibrahim! Wachilia mbali haya! Kwa hakika amri ya Mola wako Mlezi imekwisha kuja, na hakika hao itawafikia adhabu isiyo rudi nyuma } Sadaqa ALLAH Al3adhim [Hud:76].


Kwajili ya hivo ALLAH amemfanya Ibrahim ni “KHALIL” rafiki kwasababu ya upole wake ju ya waja wake. Akasema ALLAH Ta3ala:
{وَاتّخذ اللَّهُ إِبْرَاهِيمَ خَلِيلاً} صدق الله العظيم [النساء:125]،
{ Na Mwenyezi Mungu alimfanya Ibrahim kuwa ni rafiki mwendani } Sadaqa ALLAH Al3adhim [Alnisaa]. Kwa sababu kauli yake katika dua kwa Mola Mlezi wake:
{وَإِذْ قَالَ إِبْرَ‌اهِيمُ رَ‌بِّ اجْعَلْ هَـٰذَا الْبَلَدَ آمِنًا وَاجْنُبْنِي وَبَنِيَّ أَن نَّعْبُدَ الْأَصْنَامَ ﴿٣٥﴾ رَ‌بِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرً‌ا مِّنَ النَّاسِ فَمَن تَبِعَنِي فَإِنَّهُ مِنِّي وَمَنْ عَصَانِي فَإِنَّكَ غَفُورٌ‌ رَّ‌حِيمٌ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [إبراهيم].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Na Ibrahim alipo sema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu (35) Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hayo yamewapoteza watu wengi. Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye niasi, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu (36)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Ibrahim].

Lakini “Khalil’ Rafiki wa ALLAH Ibrahim Hakuandikiwa na ALLAH atimu kupatikane lengo lake kuu ndio aongoze ALLAH nae umma wote ndio awafanye umma moja juu ya njia ilio nyoka wote kwakua yeye sio mwenye huruma zaidi kuliko ALLAH kwa waja wake; Bali Maskitiko Ya ALLAH juu ya waja wake ni kuu kuliko maskitiko ya “Khalil" rafiki wa ALLAH Ibrahim Ju yake Swala Na Salam Na Ju Ya Ahli yake wa Salam, Na Ama Al’Imam Al’Mahdi basi hakufanya karibu kutoka nafsi yake kwa maskitiko ju ya waja kitu kwakua nimeangalia uwadhimu wa maskitiko ya Babu yangu Muhammad Mtume wa ALLAH- Swala ALLAHU Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ju ya waja wa ALLAH kiwangu kua yeye karibu ahiliki Nafsi yake kwa kuwasikitikia ju yao, kwajili ya hivo Amesema ALLAH Ta3ala:
{فَلَا تَذْهَبْ نَفْسُكَ عَلَيْهِمْ حَسَرَاتٍ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا يَصْنَعُونَ} صدق الله العظيم [فاطر:8].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Basi nafsi yako isijihiliki kwa kuwasikitikia. Hakika Mwenyezi Mungu anajua wanayo yafanya}Sadaqa ALLAHAl3adhim [Fatir:8].

Bali Maskitiko Ya Muhammad Mtume wa ALLAH- Swala ALLAHU Aleyhi wa Alihi wa Salam- ilikua ju ya waja ni maskitiko makuu katika Moyo wake. Kwajili ya hivo Amesema ALLAH Ta3ala:
{فَلَعَلَّكَ بَاخِعٌ نَّفْسَكَ عَلَى آثَارِهِمْ إِن لَّمْ يُؤْمِنُوا بِهَذَا الْحَدِيثِ أَسَفًا} صدق الله العظيم [الكهف:6].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya } sadaqa ALLAH Al3adhim [Alkahf:6].

Na alafu alitafakari Al’Mahdi Al’Muntadhar Akasema: Ikiwa hi ni hali ya mja ambae ni rauf mrahimu kwa waja basi vipi hali ya ALLAH Mwnye Huruma Zaidi Kuliko Wnye Huruma? Na hi ilikua ni tu kutafakari kimantik kawaida mwanzo wa jambo, Nikasema: Hapana budi kua ALLAH Yeye NI Zaidi Maskitiko Na Huzuni Ju Ya Waja Wake Kuliko “Khalil” Rafiki Wa ALLAH Ibrahim Na Kuliko Muhammad Mtume Wa ALLAH- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwa’kua Huruma Katika Nafsi Ya ALLAH Ni Zaidi Rahma Kwa Utafauti Adhimu Mkubwa Sana, Nikasema Basi Hapana Budi Kua ALLAH Yeye Maskitiko Yake Ni Adhimu Maku Na Huzuni Kwa Waja Wake Basi hivo ndio inasema akili na usawa mantik kwakua ALLAH Yeye Ndio "ARHAMA ARAHIMIN” Mwenye Huruma Zaidi Kuliko Wenye Huruma Wote. Lakini dhana haisaidi mbele ya haki kitu, Alafu Akanionesha Allah Haki Kwenye Muhakam Ya Kitiabu Chake Kua Yeye Daima Ana Maskitiko Na Huzuni Ju Ya Waja Wake Kutoka Alipo Tuma Mtume Wa Kwanza Kwa Waja Wake Ktika Majini Na Watu Waka’kadhibisha Mitume Wa Mola Mlezi Wao Wakawaombea Ju Yao Mitume, Akawaitikia ALLAH Dua Yao Aka’angamiza Aduwi Wao, Na Alafu Kutoka Hapo Aliskitika Ju Ya Waja Wake Kutoka Wakati Huo Kutoka Azali Ya Zamani Kwa Zama Za Majini Na Watu, Kwahivo Fatwa Kuhusu Maskitiko Na Huzuni Ya ALLAH Ju Ya Waja Wake Waliokufuru Ameifanya ALLAH Ni Katika Maya Ilio Wazi Zaidi Muhakam Katika KItabu Abao Imebainika:
{إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿٢٩﴾ يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿٣٢﴾} صدق الله العظيم [يس].
ALLAH Ta3ala Asema:{Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Yasin].

Na Alafu Nikapeleleza Kwa Wingi Sana Nikalipuka Kwa Kulia Baina Mikono Ya ALLAH Kulia Sana Nikasema: Kwanini Umeniumba Ewe Mola Mlezi Wangu? Na Je Ni Kwajili Nile Mazabibu Na Matunda Na Nipumbae Na Ma Hurul’ain Na Ninwe Kwenye Mito Ya Asali Ilio Safishwa Na Pombe Na Maziwa Na Nikae Kwenye Makasri Ya Fahari Katika Mabustani Ya Neema? Na je hi ndio lengo kwa ku’umbwa sisi mpaka tufanye Ridha yako ni njia ili tupate hayo? Haihat Haihat Na Tallahi hakika hi sio insaf kufanya Mola Mlezi Kwa Haki Yake, Basi Vipi Atakua MPENZI Ana Furaha Ikiwa Anacho Kipenda Zaidi Katika Nafsi Yake Hana Furaha Na Raha Na Bash’sha! Basi vipi tutakua tuna furaha katika bustani ya neema na MPENDWA MPENZI Wetu ALLAH “ARHAMA ARAHIMIN” Ana Huzuni Na Maskitiko Ju Ya Waja Wake; Bali ni kutoka maelfu ya miyaka na Yeye Ana Huzuni na Maskitiko Ju Ya Waja Wake, Na hi fatwa ya ALLAH Kuhusu Maskitiko Yake Ju Ya Waja Wake Katika Majini Na Watu Kutoka Zama Ya Zamani Ya Mbali:
{إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿٢٩﴾ يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿٣٢﴾} صدق الله العظيم [يس].
ALLAH Ta3ala Asema:{Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Yasin].

Na Wallahi Yule Ambae Hapana Mola ispokua Yeye Kama Kwamba Naona Machozi Ya Wapendwa Wa ALLAH Yanamiminika Ju Ya Mshavu Yao wakaharamisha Pepo Ju Ya Nafsi Yao Mpaka Awatimizie ALLAH Wao NEEMA KUU Ndani Yake Awe ALLAHA Ana Furaha Raha Na Bashasha Kwa Kutubia Waja Wake Wote, Alafu Wanafanya Lengo Lao Katika Haya Maisha Ni Wafanye Watu Umma Moja Ju Ya Njia Ilio Nyoka Mpaka Awatimizie "Ridhwani ALLAH” Ridha Ya ALLAH Katika Nafsi Yake Kwakua Wao Hawafanyi Ridha Ya ALLAH Ni “Wasila” Njia Ili ipatikane Pepo; Bali Wamechukua Ridha Ya ALLAH Ni Lengo, Na Hawatoridhika Ila Kutimu Lengo Lao, Hawo Ni Katika Walio Kirimiwa Zaidi Katika Wapendwa Wa Al'Rahman Katika Muhakam Al’Quran, Ala WALLAH Yule Ambae Hapana Mola Ispokua Yeye Hakika Nyinyi Mutawakuta Wanakata Bidha Ya Mola Mlezi Wao Ilio Oneshwa Kwao Kwenye Kauli Ya ALLAH Ta3ala:
{إِنَّ اللّهَ اشْتَرَى مِنَ الْمُؤْمِنِينَ أَنفُسَهُمْ وَأَمْوَالَهُم بِأَنَّ لَهُمُ الجنّةَ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا فِي التّوراة وَالإِنجِيلِ وَالْقرآن وَمَنْ أَوْفَى بِعَهْدِهِ مِنَ اللّهِ فَاسْتَبْشِرُواْ بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُم بِهِ وَذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:111].
Allah Ta3ala Asema;{ Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa } Sadaqa ALLAH Al3adhim [Altawuba:111].

Basi Angalia Kauli Ya ALLAH Ta3ala: {فَاسْتَبْشِرُواْ بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُم بِهِ} {Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye}, Na Anakusudia Basi Bishara Yenu Kwa Pepo, Akawatimizia Hapo Hapo Walipo Kufa Thamani Ya Istish’had Yao Katita Njia Ya ALLAH, Kwajili Ya Hivo Mutakuta Wameridhika Nayo Na Wamefurahia Kwakua Wao Wamefanya Ridhwan Ya ALLAH Ni Wasila Njia Ili Itimu Hivo, Na Hayo Ndio Kiwango Chao Cha Ilimu, Akasema ALLAH Ta3ala:
{وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا بل أَحْيَاءٌ عِنْدَ ربّهم يُرْزَقُونَ (169) فَرِحِينَ بِمَا آَتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ (170) يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ (171)} صدق الله العظيم [آل عمران].
ALLAH Ta3ala Asema:{Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi (169) Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika (170) Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini (171)} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Almaida].
Lakini wale ambao mapenzi yao ni zaidi kwa ALLAH kwenye kitabu katika zama za Al’Mahdi Al’Muntadhar hawatoridhika kwa hayo kabisa kata kata mpaka awatimizie ALLAH wao Neema Kuu kuliko Neema ya Pepo, Na watafanya jihad katika njia ya ALLAH kwa kulingania kwake kwa basira kujua kutoka kwa Mola Mlezi wao na wala hamtopata kununua na ku’uza baina yao na baina ya Mola Mlezi wao, Na je inakua ku’uza na kununua baina ya mpenzi na mpendwa wake? Bali mapenzi ni kubwa katika nyoyo kwa Mola Mlezi wao hawo ndio ma answar wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Katika Kitabu Ambao Ameahidi ALLAH kwa wao Katika Muhakam Ya KItabu Chake Kwnye Kauli Ya ALLAH Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَنْ يَرْتَدَّ مِنْكُمْ عَنْ دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَلا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لائِمٍ ذَلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَنْ يَشَاءُ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ}صدق الله العظيم [المائدة:54].
ALLAH Ta3ala Asema:{ Enyi mlio amini! Atakaye iacha miongoni mwenu Dini yake, basi Mwenyezi Mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mkunjufu na Mwenye kujua} Sadaqa ALLAH Al3adhim [Almaida;54].

Hawo ndio katika daraja adhimu zaidi “AHBAB ALLAH” Wapendwa wa ALLAH Katika Waja, Na Wao Zaidi Mapenzi yao kwa ALLAH, Na kwajili ya hivo hatowaridhisha Mola Mlezi Wao Kwa Neema Ya Pepo Yake Na Watamwambia Mola Mlezi Wao:” Na vipi atafurahika mpenzi na mpenzi wake hana furaha na ana maskitiko ndani ya nafsi yake? Bali tunataka itimu”AL’NA3IM AL’A3DHAM” NEEMA KUU Kulik Pepo yako Ewe ARHAMA ARAHIMIN Mwnyw Huruma Zaidi Kuliko Wenye Huruma Wote”. Na juu ya hayo ndio itaendelea kuishi kwao Na Juu Ya Hayo Watakufa Na Juu Ya Hayo Watafufuliwa, Na wala haitoridhika nafsi zao kabisa kabisa mpaka awatimizie ALLAH Wao “ALNA3IM AL’A3DHAM” NEEMA KUU Kuliko Ufalme Wa Kumiliki Dunia Na Akhera Ndio Aridhike Katika Nafsi Yake Alafu Ndio Awape Idhini ALLAH Waja Wake Wale Ambao Aliwasikitikia Ju Yao Kabla Hawajaingia Pepo Yake Wakati ikiondoka Mshtuko Kwa Moyo Wa Ma Umma Wakati Wanapo Msikia Mola Mlezi Wao Amewapa Idhini Kuwamba Waingie Pepo Yake, Wakashanga Ma Umma Wote Waseme Kwa Wapendwa Wa Al’Rahman Katika Muhakam Ya Al’Quran:

{قَالُوا مَاذَا قَالَ ربّكم قَالُوا الحقّ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ} صدق الله العظيم [سبأ:23].
وهُنا تحقق النّعيم الأعظم.


{watasema: Mola wenu Mlezi kasema nini? Watasema: Yaliyo kweli! Na Yeye ndiye Aliye juu, Mkubwa}
Sadaqa ALLAH Al3adhim [Sabaa].
Na Hapo imepatikana Kutimu “AL’NA3IM AL’A3DHAM” NEEMA KUU.
Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin,,
Ndugu Wa Watu Katika Damu Kutokana Na Hawa Na Adam 3abd Al’Na3im Al’A3dham; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
_________________


۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://albushra-islamia.net/showthread.php?p=8695