الإمام ناصر محمد اليماني
17 - 04 - 1433 هـ
10 - 03 - 2012 مـ
06:06 صباحاً
ـــــــــــــــــــ

إمامي الكريم ما المقصود بذكر المُثنى في
الآية الكريمة:
{ وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ }؟

Imamu wangu mkarimu nini kinacho kusudiwa kawa kutaja "muthana" wawili kwenye aya karimu:
{ وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ }؟
Allah Ta3ala Asema:{{wakasema wale walio kufuru mola wetu tuoneshe wale wali tupoteza katika majini na watu tuwafanye chuni ya migu yetu ili wawe ni wachini}

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلام على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين، أما بعد..
وسؤالك يا من أحيا الله قلبها بالبيان الحقّ للقرآن هو عن المقصود بالمُثنى في قول الله تعالى: {وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ} صدق الله العظيم [فصلت:29]. ومن ثمّ نأتيك بالبيان الحقّ للكتاب ذكرى لأولي الألباب ونقول: إنما المقصود بذكر المُثنى هنا هما فريقان اثنان اللذان كانا السبب الرئيسي والأساسي في ضلال الإنس والجنّ، فمن هم هذان الفريقان؟ والجواب إنّهم شياطين الجنّ والإنس الذين يسعون جاهدين الليل والنهار بكل حيلةٍ ووسيلةٍ لكي يضلّوا الإنس والجنّ عن الصراط المستقيم، أولئك هم أولى بنار جهنم صلياً.

Bismillah Alra7hman Alra7him,na salam ju ya mitume wa Allah na Al7hamdulillah rabi Al3alamin Ama ba3ad..
Na suwali lako Dadangu mwenye ku7huishwa na mola wake moyowake kwa bayana ya haki Ya Alquran nayo ni nini kinacho kusudiwa katika "muthana" wawili katika kauli yake Allah Ta3ala:
{وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ} صدق الله العظيم [فصلت:29].
Allah Ta3ala Asema:{wakasema wale walio kufuru mola wetu tuoneshe wale wali tupoteza katika majini na watu tuwafanye chuni ya migu yetu ili wawe ni wachini}[sadaqa Allah Al3adhim:Fusilat:29]
Na Alafu nakuletea Albyan Al7haq kwa haki ya kitabu ukumbusho kwa wenye akili na nasema:Hakika ewe Dadangu kutajwa kwa "muthana"wawili hapa ni vipoti viwili wawili ambao walikuwa ni msingi waupitevu na sababu kuu yakupoteza watu na majini,Na ni nani hawo mapoti mawili,Na jawabu ni mashetani wa kijini na mashetani watu wale ambao wanakimbilia kwa juhudi zao usiku na mchana kwa kila hila na njia ili wapoteze watu na majini katika njia ilio nyoka,Hao ndio wallio stahili kwa moto kufikishwa.


Wakaghurika wale hawajuwi utajo wa "muthana"wawil kwa haya maelezo katika kitabu wakadhani kuwa ni watu wawili viumbe viwili pekeyake,lakini Alimam Almahdi awapa fatwa kwa haki nayo ni grupu mbili wawili wanatokana viumbe vote viwili va majini na watu,Na hao ndio mashetani majini na watu ambao walikuwa sababu yenyewe na msingi wa kupotea majini na watu,Na wakajuwa hayo watu na majini wote kuwa ma'aduwi wao ndio sababu yenyewe na msingi ya kupoteza majini na watu ni hao mashetani majini na watu,kwajili ya hivo walisema waliopotea wote katika majini na watu:

{وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ}
صدق الله العظيم.
Allah Ta3la Asema:{wakasema wale walio kufuru mola wetu tuoneshe wale walio tupoteza katika majini na watu tuwafanye chuni ya migu yetu ili wawe wachini}[sadaqa Allah Al3adhim.Lakini kilio wafanya waghurike wale ambao wanasema ju ya Allah yale wasiokijuwa imiwaghuri utajo wa "muthana"wawili,Na Alafu nawajibu wao Alimam Almahdi na nasema: lakini Allah anawataja makundi mawili kwa utajo wa wawili 'muthana' mfano kauli ya Allah ta3ala:{فَبِأَيِّ آلَاء رَبِّكُمَا تُكَذِّبَان} صدق الله العظيم [الرحمن:13].
Allah Ta3ala Anasema:{Na kwa ne3ma ipi ya mola wenu mutakadhibisha}[Sadaqa Allah Al3adhim:Alrahman:13],kwa luga ya kiarabu ukisema tukadhiban ni umitaja wawili lakini Allah anakusudia mapote mawili.
Na swali lajiweka linyewe hapo je hapa Allah Akisema katika kauli yake kwa kutaja muthana ya wawili anakusudia watu wawili kwenye kauli yake Allah Ta3ala:

{فَبِأَيِّ آلَاء رَبِّكُمَا تُكَذِّبَان}؟
Allah Ta3ala Asema:{Fabi eyi Alaa rabikuma tukadhiban}?

Na jawabu:Bali anakusudia wote makundi mawili wale wali kadhibisha katika majini na watu,kwajili ya hivo Akasema Allah Ta3ala:

{سَنَفْرُغُ لَكُمْ أَيُّهَا الثَّقَلَانِ}
صدق الله العظيم [الرحمن:31]. ويقصد الجنّ والإنس
Allah Ta3ala Asema:{tutatenga nafasi ju yenu enye althuqlan}[sadaqa Allah Al3adhim:Alrahman:31]
Na anakusudia majini na watu

Na pia katika kauli ya Allah Ta3ala:

{فَبِأَيِّ آلَاء رَبِّكُمَا تُكَذِّبَان}

Allah Ta3ala Asema:{Na kwa ne3ma ipi ya mola wenu tukadhiban}Yani mapoti mawili yanao kadhibisha moja lao ni katika majini na lingine katika watu,na pia katika kauli ya Allah:
{وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:{wakasema wale walio kufuru mola wetu tuoneshe wale ambao walitupoteza katika majini na watu tuwafanye chini ya migu yetu ili wawe ni wachini}[sadaqa Allah Al3adhim]Na ilokusudiwa katika kauli yao:
{وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا رَبَّنَا أَرِنَا الَّذَيْنِ أَضَلَّانَا مِنَ الجنّ والإنس نَجْعَلْهُمَا تَحْتَ أَقْدَامِنَا لِيَكُونَا مِنَ الْأَسْفَلِينَ}

(wakasema wale walo kufuru mola wetu tuoneshe wale walio adhalana katika majini na watu tuwafanye chini ya migu yetu ili wawe ni wachin}Na wakasema hivo wote walio potea katika majini na watu(Mola wetu tuoneshe makundi mawili wale walio tupoteza katika majini na watu tuwafanye wachini kabisa)
,na wanakusudia mgundi mawili ya kishetani katika majini na watu kua ndio sababu yenyewe na msingi ya kupoteza majini na watu kwajili wote makafiri wa majini na watu wamijuwa kuwa hawa makundi mawili walikuwa wanenda mbio usiku na mchana kwa kila hil na njia.

Na kesi ya hi fatwa kwa bayana ya haki kwa hizi makundi mawili ambazo amiwafanya Allah katika ngazi ya chini katika moto wa jahanam nawo ni mashetani wa kijini na watu,wasalamon ju ya mitume,Na Alhamdulillah rabi Alamin.Najilinda na Mola wangu mlezi asinijalie niwe katika wale wanao sema kwa Mola wao wasiokijuwa,(hakuafikiria kwa wale wanao stahili moto wa jahanam kufikishwa?Na hawo ni mapoti mawili kundi la majini na lingine la watu na hakusudi Qabil mwana wa Adam aleyhi asalam ,je hawamchi Allah wale wanao sema ju ya Allah wasokijuwa?

Pamoja na kuwa wanazuoni wa waislamu wanamzidi Alimam Almahdi katika lugha ya kiyarabu lakini wamishindwa walete bayana kwa haki ya alquran kama anavo ifafanuwa Alimama Almahdi ufafanuzi ulio fafanuliwa,Na wamijuwa kwamba Alimam Nasser Muhammad Alyamani hajawaletea hi bayana kwasababu ya ilmu yake kwa lugha ya kiyarabu bali wanajuwa wao wana ilmu zaidi kwa lugha na na7hu,Na sawali linajitokeza lenyewe nalo:vipi basi amijuwa Alimam Nasser Muhammad Alyamani bayana kwa haki ya Alquran na wanazuoni wa waislamu wanamzidi kwa ilmu ya lugha ya kiyarabu na kwa kina7hu na hawakuweza kuleta bayana ya haki ya Alquran kama anavo ifafanuwa Alimam Nasser Muhammad Alyamani?

Basi nani alie mfundisha Nasser Muhammad Alyamani bayana kwa hak ya Alquran?na jawabu:huyo ndio yeye Al'insan Ambao alimwahidi Kwake Alrahman kuwa atamfundisha bayan ya haki ya Alquran,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{الرَّ‌حْمَـٰنُ ﴿١﴾ عَلَّمَ القرآن ﴿٢﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ ﴿٣﴾ عَلَّمَهُ الْبَيَانَ ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [الرحمن

Allah Ta3ala Asema:{Alrahman(1)Amifundisha Alquran(2)Amimumba Alinsan(3)akamfundisha bayana(4)}sadaqa Allah Al3adhim:Alrahman

Na salm ju ya Mitume,Na Al7hamdulillah Rabil3alamin..

Ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani.


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ
https://albushra-islamia.net/showthread.php?6003-