هل من عرف حقيقة النعيم الأعظم يعني ذلك أنّه صار معصوماً من اقتراف الخطيئة؟ والجواب: لا ليس معصوماً ..
Jee yule ambae kwamba amejua uhakika wa Al'Na3im Al'a3dham Amekua maasum kufanya kosa ? Na Jibu: hapana Sio Maasum Kufanya Kosa ..
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - 03 - 1437 هـ
09 - 01 - 2016 مـ
04:55 صباحــاً
ـــــــــــــــــ
مصدر البيان
https://albushra-islamia.net/showthread.php?t=25437
Bismillahi Al'Rahman Al'Rahim, na sala na salam juu ya wote mitume na waumini katika wamwanzo na wamwisho na katika walio jaa angani mpaka siku ya mwisho ..
Na hio kwenu mawaidha kwa kaumu ANAWAPENDA ALLLAH Na WANAMPENDA: Basi lakini musidhanie nafsi zenu kwamba ni (ma'asumin) Mumefungwa Kufanya kosa maisha yote kwa sababu Ya nyinyi mumejua uhakika wa Jina La Allah Kuu, bali muna'weza kukosa, basi yule ambae amefanya kosa basi na amdhukuru Mola Mlezi wake na amstaghfiru yeye na atubu kwake basi ndio atapata Mola Mlezi Mwenye kughufuru Mwenye Rahma, na mujuwe hakika Allah Anapenda Wenye kutubia Na Anapenda Wenye kujitakasa, Na muipuke na menendo ya shetani Ambao inawalekeza nyinyi kwenda kufana kosa, Na ameumbwa mtu dhaifu, basi kuweni wenye kuregea wenye kutubia wenye kumtaka Mola Mlezi Wa ulimwengu vovute mutakavo kosea, Na kuweni ni katika wenye kushukuru, Na mujichunge na yanao fitini nafsi ambao inao amirisha mabaya.
Na Salamon Juu Ya Mitume, Na AlhamdulillH Rabi Alalamin..
Nduguyenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
________