Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
30 - 12 - 1428 هـ
09 - 01 - 2008 مـ
https://albushra-islamia.net/showthread.php?p=3858
______________________

حاشا لله أن يُساق محمدٌ رسولُ الله والصالحون..
Hasha Kwa Allah Kua Wataongozwa Na Kuendeshwa Muhammad Mtume Wa Allah Na Watu Wema ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Na Ma Swahaba Wake Walio Waziri Walio Twahirika, Ama Baada Ya Hapo..


Na Ewe Habib, Ju Yako Yatakiwa Ujuwe Maana Ya Kauli Yake Ta3ala:
{وَجَاءَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَعَهَا سَائِقٌ وَشَهِيدٌ}
صدق الله العظيم [ق:٢١]
{ Na kila nafsi itakuja na mchungaji na shahidi }
Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf:21],
Yani kila nafsi Ameunganisha Allah nayo nafsi ya kikhabithi wakawa roho mbili zinaishi kwenye kiwiliwili kimoja basi wao kwenye adhabu wanakua pamoja, Kwajili ya hivo utapata Malaika wanampiga kafiri alio kanusha na wanasema; Toweni nafsi zenu; Na wanakusudia nafsi ya mtu na nafsi ya shetani ambao wanaishi kwenye mwili moja, Na hivo hivo siku ya kiyama wanawaendesha kuwaongoza mtu na rafiki yake shetani kwenda kwa Mwenye Huruma Al'Rahman, Shetani akamonesha hata mbele ya Mikono Ya Allah akhera kua akanushe hata mbele ya Mola Mlezi Wa Ulimwengu mpaka pindi akiapa mbele ya Allah kua alikua hajafanya kitendo kiowovu lakini Allah Amefunga mdomo wake basi zikashuhudia viungo vake na ngozi yake kwa yale waliokua wakiyatenda mpaka pindi zimekiri kwa dhambi yake akasema kuiambia ngozi yake na migu yake kwanini mumetoa ushahidi ju yetu wakasema Ametutamsha Allah Ambae Ametamsha kila kitu.

Kisha anasema yule mtu kwa mwenzake shetani yule ambae anae ishi nae katika mwili wake baada alipo mpoteza duniani na akhera na hivo hivo alitoa ushuda dhidi yake akasema Ewe Mola Mlezi wangu hakika sikumpoteza lakini yeye alikua kwenye upotevu wa mbali; Basi hapo atasema yule mtu kwa rafiki yake shetani:
{يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ} صدق الله العظيم [الزخرف:٣٨].
{ Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki mbili. Rafiki mwovu mno wewe }
Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf:38].

Na ama rafiki wa mongozaji mwendeshaji yeye ni ( Raqib ), Na hakika nimewafundisha kua mwendeshaji mongozaji yeye ni (Atid), Mpaka pindi anapo towa ushuhuda (Raqib) kua yale alio nayo (Atid) katika kitabu cha maovu kua ni haki na wala hajamdhulumu mtu kitu, Na baada inapo toka ukweli inatolewa amri kwa Malaika (Atid) Na Malaika (Raqib) wote wawili ambao hawakumwacha yule mtu ambae ni mhalifu mpaka wamtupe yeye ndani ya adhabu kali na imeisha na imetimia kazi yao kutoka mwanzo mpaka mwisho na Alhamdulillah Rabilalamin.

Kwajili ya hivo utapata amri imetoka ju ya Malaika (Atid) Na (Raqib) wamtupe yeye katika Moto Wa Jahanam ndio inaisha kazi yao, Kisha wanaenda zao kwenye mkusanyiko wa Malaika Katika mzunguko wa Arshi, Na ikakidhiwa baina yao kwa haki na ikasemwa Alhamdulillah Rabilalamin. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتيدٌ ﴿٢٣﴾ أَلْقِيَا فِي جهنّم كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾ قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَٰكِنْ كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾ قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا لَدَيَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُمْ بِالْوَعِيدِ ﴿٢٨﴾ مَا يُبَدَّلُ الْقَوْلُ لَدَيَّ وَمَا أَنَا بِظَلَّامٍ لِلْعَبِيدِ ﴿٢٩﴾ يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ ﴿٣٠﴾}
صدق الله العظيم
[ق].
{ Na mwenzake atasema: Huyu niliye naye mimi kesha tayarishwa (23) Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda (24) Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) Aliye weka mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali (26) Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali (27) (Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu. Nilikuleteeni mbele onyo langu (28) Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu (29) Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada (30)}
Sadaq

a Allah Al3adhim [Qaaf].
Na Ama Walio Kirimiwa basi wanakuja siku ya kiyama na nuru yao mwangaza wao unaenea mbele ya mikono yao na imani yao wametukuzwa wamekirimiwa bila yoyote kuwaendesha ewe Habib, Na maana ya kila nafsi ina mwendeshaji na shahidi haitabikiani kwa watu wema kabisa baada ilipo bainika kwenu taawili ya haki, Bali mwendeshaji na shahidi ni ya kila nafsi katika watu wa jahim wala sio kila nafsi ya watu wa neema wale ambao hamna hofu ju yao wala wao watahuzunika.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli Mnusura Wa Muhammad Mtume Wa Allah Na Al'Quran Al3adhim; Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
المهدي المنتظر الحقّ الناصر لمحمد رسول الله والقرآن العظيم؛ الإمام ناصر محمد اليماني..
____________


اقتباس المشاركة 3858 من موضوع رد صاحب علم الكتاب إلى حبيب الحبيب بالبيان الحقّ لا ريب فيه: { مَّا يَلْفِظُ مِن قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَ‌قِيبٌ عَتِيدٌ } ..



- 4 -
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - 01 - 1429 هـ
09 - 01 - 2008 مـ
08:33 مـساءً
ــــــــــــــــــ


حاشا لله أن يُساق محمدٌ رسولُ الله والصالحون ..

بسم الله الرحمن الرحيم، وصلّى الله على محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم وعلى آله وأصحابه الطيبين الطاهرين، ثم أمّا بعد..
ويا حبيب، عليك أن تعلم بأنّ معنى قوله تعالى:
{وَجَاءَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَعَهَا سَائِقٌ وَشَهِيدٌ} صدق الله العظيم [ق:٢١]، أي كُل نفسٍ قيَّض الله لها نفساً خبيثةً فأصبحا روحين يعيشان في جسدٍ واحدٍ فهما في العذاب مشتركان، لذلك تجد الملائكة حين يضربون الإنسان الكافر المعرض ويقولون: أخرجوا أنفسكم؛ ويقصدون نفس الإنسان ونفس الشيطان اللتين تعيشان في جسدٍ واحدٍ، وكذلك يوم القيامة يسوقون الإنسان مع قرينه الشيطان إلى الرحمن، فأرداه الشيطان حتى بين يدي الله في الآخرة بأن ينكر حتى ربّ العالمين حتى إذا حلف لله ما كان يعمل من سوء ولكن الله ختم على فمه فشهدت أطرافه وجلده بما كانوا يفعلون حتى إذا اعترف بإثمه وقال لجلده ورجليه لما شهدتم علينا قالوا أنطقنا الله الذي أنطق كل شيء.

ومن ثم يقول الإنسان لقرينه الشيطان الذي يعيش في جسده و بعد أن أرداه في الدنيا وفي الآخرة وكذلك شهد ضده وقال: {قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَـٰكِن كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾} صدق الله العظيم [ق]، وعندها يقول الإنسان لقرينه الشيطان: {يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ} صدق الله العظيم [الزخرف:٣٨].

وأما قرين السائق هو (رقيب)، وقد علمناكم بأنّ السائق هو (عتيد)، حتى إذا ألقى الشهادة (رقيب) بأنّ ما لدى (عتيد) في كتاب السيئات أنه الحقّ ولم يظلم الإنسان شيئاً، وبعد أن يُحصحِص الحقّ يصدر الأمر على الملك (عتيد) والملك (رقيب) الاثنين اللذين لم يفرطا بالإنسان المجرم حتى ألقَيا به في العذاب الشديد وانتهت وانقضت مهمتهما من البداية إلى النّهاية والحمدُ لله ربّ العالمين.

لذلك تجد الأمر صدر على الملك (عتيد) و(رقيب) ليلقيا به في نار جهنّم فتنتهي مهمتهما، ومن ثم يذهبون للجمع الملائكي من حول العرش، وقُضي بينهم بالحقّ وقيل الحمدُ لله رب العالمين. وقال الله تعالى:
{وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتيدٌ ﴿٢٣﴾ أَلْقِيَا فِي جهنّم كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾ قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَٰكِنْ كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾ قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا لَدَيَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُمْ بِالْوَعِيدِ ﴿٢٨﴾ مَا يُبَدَّلُ الْقَوْلُ لَدَيَّ وَمَا أَنَا بِظَلَّامٍ لِلْعَبِيدِ ﴿٢٩﴾ يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم [ق].

وأما المُكرّمون فيأتون يوم القيامة نورهم يسعى بين أيديهم وبأيمانهم معزَّزين مكرَّمين من غير أحد يسوقهم يا حبيب، ومعنى كل نفسٍ معها سائق وشهيد لا ينطبق على الصالحين أبداً بعد أن تبيّن لكم التأويل الحقّ، بل السائق والشهيد مع كُلّ نفسٍ من أصحاب الجحيم وليس مع كلّ نفسٍٍ من أصحاب النّعيم الذين لا خوفٌ عليهم ولا هم يحزنون.

وسلامٌ على المرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
المهدي المنتظر الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..